nzuri sana mkuu sijui kwakoTuko poa mkuu. Za kupotea?
Atakuja mkuu don't worry
Aisee huyu naye amepotea
Chuck Norris, tajiri asie na makuu waa kujulikana. Hapendi mbwembweTexas walker ranger
Unatuhumiwa kunyemelea Mali yangu Kuna ukweli wowote?
Kwa nchi yetutuombe salama...
Yupo anagonga namba
Unatuhumiwa kunyemelea Mali yangu Kuna ukweli wowote?
Siogopi lakini nashangaa Tu kwanini umtukane mtu ikiwa ajafanya unachopenda kukionaBro, unaogopa kutukanwa?
Na anazidi kunona tu. Ukiwa na mabomu ya nyuklia aisee ni full kipupwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MNYOA KIDUKU ANAYESUMBUA DUNIA BAADA YA KUPATA TEKNOLOJIA YA NYUKILIA.
Sent using Jamii Forums mobile app