Those days, kanda inajisokota
Kabisa BroNotification zinawataarifu
Tutakupa likes nyingi kufidia muda ambao hautakuweoUmeme umekatika na simu inaisha charge
[emoji2] [emoji2] [emoji2]"siwezi somesha wazazi"
Sherehe zote, na wanajua watu wangu, ukitaka nikuchangie zawadi sileti, ukitaka zawadi, mchango sitoi.
Sio mchango nitoe,
Zawadi nilete,
Sare nivae,
lol, big No.
Eti undugu wa hiyari [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Carbamazepine nimetokea kukukubali sana natamani uwe ndugu yangu wa hiyari kama diamond na Halima Kimwana