mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HakikaTenda ukiaminicho
HakikaTenda ukiaminicho
Ulikuwa unaliwakilisha bunge au ulipuyanga kivyako tu?Ni yangu matumaini kuwa hapa Kijijini ni wazima kabisa
Kwangu ni poa nilikuwa nje ya nchi kikazi kwa siku tatu
PFuata falsafa yako
KabisaSimamia maamuzi yako
Jirani kachanganywa na mahaba ya jose ni vurugu tu.[emoji23][emoji23][emoji23]polee eeh
Basi msalimie jirani yako[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio unamaliza maneno kama MkuluChunga ukisemacho
????????