Facts: Pamoja na mateke yake, Pundamilia ni mnyama mpole na mwenye huruma
Pundamilia ni nyama ambaye kwa lugha ya kitaalamu anajulikana kama 'equids' na kwa kiingereza anajulikana kama 'Zebra' .Pundamilia ni mnyama mkubwa mithili ya ng'ombe.Uzito wake ni taklibani kilogram 300 na uwezo wa kuishi ni miaka kama 20.Ana uwezo mkubwa wa kusikia,kuona na kukimbia kwa haraka kiasi cha kilometer 65 kwa saa.
Pindamilia ana miguu myembamba na mirefu kiasi,ambayo humuwezesha kutembea kwa urahisi na kukimbia.Ni mnyama jasiri asiyeogopa kupambana na adui zake kwa mateke.Adui wa pundamilia mara nyingi ni Simba,Fisi,Mbwa mwitu na Binadamu ambaye humwinda kwa ajili ya nyama na ngozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.