Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Una waza mbali sana kiongozi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndiyo mawazo ya Kiafrika hayo kiongozi. Huwa hatuwazi mambo ya maana mf. kwenda Mars na kuangalia kama kuna maji huko au kuangalia kama kuna almasi kwenye mavimwondo mengi yanayojivurumisha huko katika asteroid belt. Ndo uwezo wetu ulipogotea mkuu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…