Je wajua kuwa Steiglersc Gorge Water Falls ndipo mahali pekee palipokusudiwa kujengwa kituo kikubwa zaidi cha kuzalisha umeme-maji (hydro power plantation) unao kidhi mahitali yote ya Tanzania ?
Huu utani!
Kwa leo huyu hasalimiki[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahahahaha Andjul, nsamaka ni jirani na rafiki yangu mpeeenzi. Kuwa mpole tu kaka. Mimi naye ni wapenzi wa hiyariSina uhakika sana kama nimekusamehe mkuu, nyie ni pasua kichwa.Salaam yenu mnaitana mpenzi sijui jirani...
Dunia ya leo si Jana. Ni zama za mwenye macho haambiwi tazama. Ni mwendo wa vilongalonga na kucheka na viganja vya mikonoNdiyo dunia yetu ilivyo !!!
![]()
Nitakushtaki kwa Consuela...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa leo huyu hasalimiki[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jee wajua..Serikali ya Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 70 ilidhamiria kujenga kituo kikubwa cha kuzalisha umeme maji " Hydro Power Plant" chenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 2100. Hivyo mnamo mwaka 1977 kwa ufadhili wa nchi ya Norway Tanzania lianzisha mradi wa ujenzi wa mtambo mkubwa wa kuzalisha umeme kwenye bonde la mto Rufiji. Kwenye Maporoko ya Steiglers Gorge Water Falls