Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c56d0e3376e4ef2daaabf020415fbc46.jpg
 
Wasiojua na wajue sasa. wakati Tanzania inazindua mradi kabambe wa kuzalisha megawati 2100 za umeme wa gharama nafuu ilikuwa na mahitaji machache ya nishati hiyo, haikuwa, wala haikutarajiwa kama inaweza kuwa na umeme wa mgawo. Mahitaji makubwa ya umeme wakati huo ilikuwa kwenye viwanda vyake. Maana haikuwa na mahitaji mengi ya umeme kwa matumizi ya nyumbani kwakuwa hakukuwa na majengo mengi marefu, wala haikuwa na migodi ya dhahabu kama ilivyo leo.
 
Back
Top Bottom