Mto Nile ni mkubwa zaidiSawa na mto Nile?
Je wajua kuwa magema ya maporomoko ya steiglers" Steiglers gorge water falls" ndipo lilipodia jina la mto Ruaha na kuanza mto Rufiji mara baada ya kuungana na mto mwingine mkubwa wa Kilombero?
Ndiyo hivyoAisee. Nilikuwa sijui hii
Je wajua mahali yalipo magema ya maporomoko ya Steiglers?
Habari zenu wazee wa kukesha
Maporomoko ya Steiglers yapo ndani kabisa ya hifadhi ya pori la akiba la Selous. Yapo karibu na mto Behohobeho na mto Sumbazi ambayo imeanzia msituni na kuishia ndani ya mto Rufiji huko huko msituni
Je wajua kuwa Steiglers Gorge Water falls ndiyo maporomoko makubwa zaidi Tanzania?