mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
VCMXCIXV999
VCMXCIXV999
AMUN RA20:00
Kwa kila postLikes
Well said broMimi nadhani watu wana hasira na hawana mahali pa kuzitolea. Ndiyo maana wakati mwingine mikutano ya kisiasa na maandamano ni muhimu - watu wanakutana hukoo wanatema nyongo na maisha yanaendelea...Sasa hivi ni kama livolkeno fulani hivi limelala linatokota mumo kwa mumo tu...Pompeiiii
China kuna hela za mchezo mchezo kweli
Hahahahaha watu wa kigoma kwa vitisho Makamba akiwa mkuu wa mkoa huko anawajuaKatika karne hii watu bado wanajivunia uchawi. Huyu Zitto ni yeye peke yake aliyeaga nyumbani hakuna mwingine? Mianasiasa uchwara !!!
Vipara
Viatu
Versions
Poa mkuu kumbukumbu bado ipoKatika namba za kirumi namba yoyote ndogo ikikaa nyumba ya namba kumba inakuwa ina punguza idadi, mfano:
M ni 1000
C ni 100ukiweka C nyuma ya M yaani CM = 900
IV = 4
Na ukiweka namba ndogo mbele ya kumba unaongeza mfano:
MC = 1100
VI = 6
Kwahiyo;
600 = DC
90 = XC
9 = IX
699 =DCXCIX
4.Ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika ulimwengu.
6.Kwa kawaida 3/4 ya damu yote inayotokoka kwenye moyo uenda kwenye ubongo.
Vyama
4.Ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika ulimwengu.
6.Kwa kawaida 3/4 ya damu yote inayotokoka kwenye moyo uenda kwenye ubongo.
YapCMXXIV
YapCMXXV