mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
VIIIW008
Uzi safi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio maana huu uzi umekuwa maarufu JF. Unaingia hapa ukiwa na mastress yako ya kutwa nzima, ukija kutoka uko safii! Unaenda kupanga tena mikakati yako ukiwa stress free kabisa! [emoji23]
Funguooo...Sijakucheka bhana nimefurahi tu
Nitakupa funguo kuwa na subra