mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha
Wacha nipate wawili tu hapo bonge la mtaji forexGolden tigers. Wamebakia 30 tu dunuani kote. Ngozi yake mpaka milioni mbili dola....
Kabisa mkuuUzi huu una mibaraka sana. Consuela and Antonio. What a beautiful couple [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mark upo MkuuJamani jamaniii....Wadau mpooo??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yap. Antonio Adolfo (Alibakari) and the lovely Consuela [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wangefanya mpango wazalianeSijui historia yao vizuri ila hawa ndo the most endangered kati ya tigers wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo zake hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Same excuse everyday. Nyuki wa mashine my foot [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaWakati mazizi mengine yanavunjwa,mengine yanajengwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila inapendeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] macho yake yakoje kwaniNatamani niwe na hayo macho yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ili nipate kutambua waharibifu wote wa humu
Kwa kila postLikes
AMUN RA21:11
Yanaona waharibifu mapema kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] macho yake yakoje kwani
Uzi fantastic sana huuNdo lengo mojawapo la uzi huu. Tunataniana tunacheka tunakula likes na mambo yanakwenda. Anayekwazika anasema anaacha kutaniwa; na anayetaka kuonja povu anatest zali jukwaa la siasa halafu anarudi huku kawa mpolee. Nafurahi kama umecheka shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umu kassimu majaliwaSafiii Carba...jaman c uniruhusu ata nije nikusalimu kwa Pm?Hahahaaaaa