Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kimpumu, komoni, kyindi, kangala na ulanzi kwa kuimpoti... Unataka kulipia kipi mkuu?
Huo ndio undugu wa kufaana, lipia chochote,mimi sijuagi kuchagua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] Fanya kazi kwanza. Asubuhi yote hii ukiamua kuanza na kimpumu mpaka Ike ifike saa ya kulala, lazima utakuwa unatembelea magoti! [emoji23][emoji23]
 
Hahahahaha kundi la makapera like nani nani humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Fanya kazi kwanza. Asubuhi yote hii ukiamua kuanza na kimpumu mpaka Ike ifike saa ya kulala, lazima utakuwa unatembelea magoti! [emoji23][emoji23]
Kazi niliyo ajiriwa hapa sokoni Ushirika ni kuonja pombe.Nina uwezo wa kutambua pombe zenye alikoholi feki....
Ule mshipa wa hisia ya kulewa huwa nauachaga nyumbaaaaniii(hata sijui kama panya hawajauiba) kwenye dari...
Lipia tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…