Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulijua nini sasa we andjul? Hivi huko Tukuyu wanatumia kinywaji gani? [emoji23][emoji23]
Kimpumu, komoni, kyindi, kangala na ulanzi kwa kuimpoti... Unataka kulipia kipi mkuu?
Huo ndio undugu wa kufaana, lipia chochote,mimi sijuagi kuchagua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu utani!

Utani kivipi, Hali ndio hiyo [emoji3][emoji3][emoji3]
3ff011e19c1416b2e8d1e2c501f0c7c8.jpg
 
Pindamilia ana miguu myembamba na mirefu kiasi,ambayo humuwezesha kutembea kwa urahisi na kukimbia.Ni mnyama jasiri asiyeogopa kupambana na adui zake kwa mateke.Adui wa pundamilia mara nyingi ni Simba,Fisi,Mbwa mwitu na Binadamu ambaye humwinda kwa ajili ya nyama na ngozi.
Mimi nampendea hips zake na kiuno unavyo kizungusha akitembea... Hatariii!!!
 
Back
Top Bottom