moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na wewe ujulikani amaWatu wasiojulikana mpo humu
Mkuu kacnia, habariI GREAT YOU IN THE NAME OF LOVE
MKO SALAMA?
Hata naona macho yangu yananidanganyaHimmer2 kuuzia nyanya wakati huku kwetu Noah tu hawauzii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kwema mkuu umepotea sanaNipo mkuu kwema lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] nikajua upo Ukerewe baby, maana ndo wanalala saa hizi... Veri sori [emoji120] [emoji120]
Poa mkuuNawasalimu humu ndani..??
HahahahahaNilijaribu kupiga yowee kwa kichagga
Hata Mimi nataka kukodiSalama kabisa ghala letu la silaha bando lipo tuje kukondi?
Hahahaha[emoji3] [emoji3] anajiona yu salama 100x100.[emoji3] [emoji3]Na anazidi kunona tu. Ukiwa na mabomu ya nyuklia aisee ni full kipupwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bob 12 SomalilandMkuu Bob12 bado upo safarini?
ISIS nae kapotea...
ho chi minh haeleweki...
Quigley ndo kabisaa hapatikani...
Cleverking hatuna taarifa yake...
Gr8 kwa kweliHabari za mchana rafiki
HahahhaNimeona nimeandaa maswali yangu hapa nikamlipue akikaa ovyo hadi mapovu ya beer leo tunakunywa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pia kutoa rambi rambi na kuombea watu waliokutwa na majanga ni jinai.Watu wafanye kazi tu.Kutoa damu Siku hizi ni jinai
Mzee wa zamaZama zile si zama hizi