mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
MchinaWana
MchinaWana
AMUN RA08:26
Na kwako piaupendo kwa wote
Tupo pamoja boss.Siku chache hizi unatutenga mkuu
Wakekila jambo na wakati
AMUN RAKweli 100%
FiveTano
Hahahha mkuu habari za mchana huuFunguooo...
Nitazipata wapi[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Ni kweliMimi nadhani watu wana hasira na hawana mahali pa kuzitolea. Ndiyo maana wakati mwingine mikutano ya kisiasa na maandamano ni muhimu - watu wanakutana hukoo wanatema nyongo na maisha yanaendelea...Sasa hivi ni kama livolkeno fulani hivi limelala linatokota mumo kwa mumo tu...Pompeiiii
Ni kweli proof 100%Internet ya voda ina kasi kuliko ya halotel
Hapana mimi ni muhamasishaji tuCarbamazepine kumbe nawe ni member eeeh
Mkuu mpka wewe umegushwaama kweli...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Katika karne hii watu bado wanajivunia uchawi. Huyu Zitto ni yeye peke yake aliyeaga nyumbani hakuna mwingine? Mianasiasa uchwara !!!
AMUN RAKatika namba za kirumi namba yoyote ndogo ikikaa nyumba ya namba kumba inakuwa ina punguza idadi, mfano:
M ni 1000
C ni 100ukiweka C nyuma ya M yaani CM = 900
IV = 4
Na ukiweka namba ndogo mbele ya kumba unaongeza mfano:
MC = 1100
VI = 6
Kwahiyo;
600 = DC
90 = XC
9 = IX
699 =DCXCIX
Nakumbuka sana alisema jamaa mgonjwa ndio maana ana sura mbaya lakini yeye ndio sura yake halisiIla remmy alikata rufaa na kusema kaonewa na kunyimwa huo ushindi maana yeye ndo mbaya zaid
I hate holidaysNaipenda Christmas
AMUN RA09:10