Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HUYU NDIO MDUDU BUIBUI..... Buibui ni katika wadudu wa ajabu sana. Wataalamu wa masuala wa wadudu wanamtaja kama "MDUDU HATARI ZAIDI" duniani. Buibui ndiye mdudu ambaye nyumba yake ni nyumba hatari zaidi duniani. Wadudu wengine wanaofika kwenye nyumba yake huishia kuvuta pumzi yao ya mwisho hapo. Hawatoki, na anafanya hila kuwaaminisha wadudu wengine wadhani kuwa mdudu aliyenaswa kwenye nyumba yake ananeemeka.
 
Kwa mfano, akimuona nzi kamtembelea, husubiri mpaka giza liingie kisha huenda kutekeleza ukatili wake, na baada ya hapo humtemea mate ili aonekane amenenepa, kwa maana akionekana kakonda wadudu wengine wataogopa. Hivyo wadudu wanamuona nzi kanasa pale hudhani kuwa nzi yule ananeemeka
 
Back
Top Bottom