Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini sisi tunaweza kuruka kwa ungo - shattering almost all of the thermodynamics, aerodynamics and other laws of physics known to man. Imagine mtu unaruka tu bila source of energy hakuna cha propulsion wala nini. Sisi ni shida basi tu...

Kwema lakini?

Hahaaa... Hii kitu ya kuruka na ungo mi huwa siiamini aisee! Labda mpaka siku nitakayo shuhudia mwenyewe. Ungo utarukaje sasa, hiyo damu ya huyo dereva wa huo ungo ndio source ya energy? [emoji23][emoji23]
 
2609c7c242feea15b5240d70d58caa96.jpg
 
Back
Top Bottom