Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W343
[emoji23][emoji23]ila we jiandae tu maana nimepata tetesi niko kwenye rada wakija hapa hapakaliki[emoji23][emoji23]
Sijui watu wamechoka au ni majukumu yanabana maana hadi nakosa mzuka wa kuja humu[emoji22]Ni kweli kabisa likes zimepungua sana
Story zimepungua sana
Sina comments kwa hili
Subiri usikie"we kweli chasungu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Mwenyekiti na Makamu wake wale ni shida!
Subiri usikie"we kweli chasungu"[emoji23][emoji23][emoji23]