mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Salama tu
Siku hizi nitakuwa nakusalimia kwa hisani ya......naogopa kesi maana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila siku hizi stori zimepungua humu hata likes pia si kama mwanzoNajitahidi kuwa 2 or 3 hrs ago ndio unafaidi charting za humu
Story zipoHauna stori watu sijui wako wapi
Woyooo[emoji23][emoji23][emoji23]Embu acha hizo bana, kwa hisani ya nani tena? Sheria zimewekwa ili zivunjwe Mahakimu wapate Kesi za kutolea hukumu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo my princessUzi hauna hata stori na mimi kuongea pekeangu siwezi sijui nifanyeje[emoji22]
Sikwazikwa hila najaribu kuweka sawa mambo niaje lakini my princessDaah!nitajitahidi basi niwe nafanya hivyo
Pole kama ulikuwa unakwazika[emoji144]
HaahhahEmbu acha hizo bana, kwa hisani ya nani tena? Sheria zimewekwa ili zivunjwe Mahakimu wapate Kesi za kutolea hukumu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa likes zimepungua sanaIla siku hizi stori zimepungua humu hata likes pia si kama mwanzo
Safi tu sijui pande za hukoSikwazikwa hila najaribu kuweka sawa mambo niaje lakini my princess
Woyooo[emoji23][emoji23][emoji23]