carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hauna stori watu sijui wako wapiSio kweli umepoa kivipi
Hauna stori watu sijui wako wapiSio kweli umepoa kivipi
Imani hizo
Mzima wewe
TupoWatu mpo wapi jamani[emoji22]
Carba shida nyie mnaanzia pale mkiingia kwenye Uzi sisi tunarudi mpka last post za UziWatu mpo wapi jamani[emoji22]
Salama tuHahaa, kweli imani! Mi sijambo kabisa, vipi mambo niaje hapo?
Uzi hauna hata stori na mimi kuongea pekeangu siwezi sijui nifanyeje[emoji22]Tupo
Najitahidi kuwa 2 or 3 hrs ago ndio unafaidi charting za humuWatu mpo wapi jamani[emoji22]
Hahahahaha nakuja kwa hiyo siwezi acha kwa kweliMzee wa ini nakusalimu
Nina vant69 hapa njoo uchukue[emoji23]
Daah!nitajitahidi basi niwe nafanya hivyoCarba shida nyie mnaanzia pale mkiingia kwenye Uzi sisi tunarudi mpka last post za Uzi