Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W305
Mzima kabisaHatujambo na weye ukoje?
Mzee wa ini nakusalimuMkuu Ruta sikupi likes almost post zangu 1000 ujagonga likes sitaki maswali kwa hili uwa unapenda kuhoji
Tuendelee kugonga likes
Kwa kila post kwa anayekupa likes
News mogulYou will never change your life until you change something you do daily. - Mike Murdoch
Vipi kuhusu mjusi kugeuka mamba na kumtandika mtu ziwani?