Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W320
Ni furaha yangu iliyoje kusikia hiliMzima kabisa
Kiongozi uchwaraUlisikia argument ya Kigwangala? Unaweza kuwa umefakamia kokeini kabla hujaanza kuchochea kwa hivyo inabidi wakupime mkojo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IndeedHahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] anaitwa Masoud Bayabo[emoji3] [emoji3] toka kitongoji cha ilala kiitwacho Sharif shamba. Bingwa wa Taifa wa sura mbaya. Mtu huyu hakuwa maarufu ingawa niliwahi kumuona kabla hajapata ubingwa, kwakuwa aliishi karibu sana na rafiki yangu wa udogoni. Alipopata ubingwa ghafla akawa mtu maarufu sana. BBC na DW walifanya mahojiano naye, magazeti ya Tanzania yalirusha habari zake na Remy Ongala alikuwa akimtembelea na mara nyingine kwenda naye kwenye shoo za Super Matimila yeye na mkewe aliyejulikana kwa jina la Nyamtambo.
Salama mkuuMkuu salama lakini
Imani hizoI don't believe any of those! Ni sawa na story za vita ya Majimaji. Mambo ya adui mwenye bunduki dhidi ya mzalendo mwenye mishale! Eti risasi ikifyatuliwa sema MAJI, eti risasi inageuka maji! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli umepoa kivipiUzi umepoaaaa[emoji30][emoji30][emoji30]
Hamjambo wananchi
Qwww
WwwwW303