Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Steiglers Gorge Water Falls in Selous Game reserve. Baada ya serikali ya Tanzania na wafadhili wake nchi ya Norway kushindwa kuendeleza mradi huo muhimu majengo yaliyotumika kama makazi ya expert yaliamuliwa yatumike kwa matumizi mengine. Hii imetokea baada ya kukwama kwa mradi na baada kusubiri kwa muda mrefu kuhuisha mradi huo ambao ulikuwa ndiyo mkombozi wa kweli wa nishati ya umeme nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka mia moja toka kukamilika kwake kama ilivyokusudiwa. Hivyo serikali ilikabidhi kota za wataalam wa Kinorway zilizo achwa hapo, uwanja wa ndege (ndege ndogo) na majengo ya wafanyakazi wa kitanzania kwa mamlaka ya uendelezaji bonde la Rufiji "RUBADA" . Rubada waliyakodisha majengo hayo kwa kampuni inayomilikiwa raia mmoja wa Tanzania mwenye asili ya Ugiriki ambayo inajihusisha na utalii ili yatumike kama hoteli ya kitalii. INAENDELEA...
 
Back
Top Bottom