mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahaHahaaa... Hii kitu ya kuruka na ungo mi huwa siiamini aisee! Labda mpaka siku nitakayo shuhudia mwenyewe. Ungo utarukaje sasa, hiyo damu ya huyo dereva wa huo ungo ndio source ya energy? [emoji23][emoji23]
Vipi kuhusu mjusi kugeuka mamba na kumtandika mtu ziwani?Hahaaa... Hii kitu ya kuruka na ungo mi huwa siiamini aisee! Labda mpaka siku nitakayo shuhudia mwenyewe. Ungo utarukaje sasa, hiyo damu ya huyo dereva wa huo ungo ndio source ya energy? [emoji23][emoji23]
Hahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] anaitwa Masoud Bayabo[emoji3] [emoji3] toka kitongoji cha ilala kiitwacho Sharif shamba. Bingwa wa Taifa wa sura mbaya. Mtu huyu hakuwa maarufu ingawa niliwahi kumuona kabla hajapata ubingwa, kwakuwa aliishi karibu sana na rafiki yangu wa udogoni. Alipopata ubingwa ghafla akawa mtu maarufu sana. BBC na DW walifanya mahojiano naye, magazeti ya Tanzania yalirusha habari zake na Remy Ongala alikuwa akimtembelea na mara nyingine kwenda naye kwenye shoo za Super Matimila yeye na mkewe aliyejulikana kwa jina la Nyamtambo.Hahahha
Maweee. Nafwaaaaaa !!!Nipo somalia hapa karibu tende yakhe
nitarudi na mabomu ya kutosha
Mkuu habari yakoW180
Mkuu salama lakiniWCXXX
!!!!?
!!!!?
!!!!?
Nimeona mijadala inarindima huko kuwa Albadir hairuhusiwi katika Uislamu wa kweli na wanaofanya hivyo wanamkufuru Allah...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Jirani ni kitu gani hiki?!!!!?