Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UKIKUTANA NAYE UFANYE NINI****************** Kwanza kaa ukijua fisi sio mnyama wa kumchezea, naye ana uwezo wa kukurarua vile vile, usijeanza fikiria zile hadithi za shule ya msingi ukamchukulia pia, sungura mwenyewe akimuona anafungua njia vibaya sana, japokuwa si kiumbe anayevamia moja kwa moja, huuma kwa kuvizia, jihami vya kutosha na uwe na silaha nzuri kama fimbo nzito, mawe yenye ujazo mzito, na usimpe nafasi ya kumuonesha unamuogopa japokuwa kicheko chake chaweza kukutia hofu Mara dufu.
 
Ukumbuke anapotoa sauti hizo, wenzie wanaposikia hujua kina jambo, hivyo hakikisha haumpi nafasi hiyo, vinginevyo wakiwa zaidi ya wawili andika na wosia kabisa. ******************************************* Wanyama hawa wapo wa kutosha sehemu kama ngorongoro ni zaidi ya uchafu, mikumi, Serengeti ndio usiseme, hapo hujamalizia na katavi, ni wanyama ambao kibali cha kumuweka kwenye zoo unaweza ukakipata ndani ya muda mfupi sana.
 
Back
Top Bottom