Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji nisamehe. Pilika pilika hapa leo. Tunaagwa. Nakuja kwa Jakitoo wangu. Hata ww MD wangu itabidi tuonane. Nakuona upo na andaeitiini hapo pembeni. Jihadhari sana. Kama nilivyokwambia jana. The boy is veeeery smooth chita cha mtoto. Cole mdogo wangu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali shem cha muhimu uko mzima wa afya
Karibu nyumbani mana itabidi nije koromije kula ng'ombe kwakweli
[emoji23][emoji23]huyu andaeitini namuangalia kwa makini
 
Back
Top Bottom