mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Mwenyekiti na Makamu wake wale ni shida!
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Mwenyekiti na Makamu wake wale ni shida!
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]jamani
Ujue nilikuwa nakutetea[emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji nisamehe. Pilika pilika hapa leo. Tunaagwa. Nakuja kwa Jakitoo wangu. Hata ww MD wangu itabidi tuonane. Nakuona upo na andaeitiini hapo pembeni. Jihadhari sana. Kama nilivyokwambia jana. The boy is veeeery smooth chita cha mtoto. Cole mdogo wangu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul
jakitoo
SHIMBA YA BUYENZE
nsamaka
moudgulf
ho chi minh
myoyambendi
ISIS
Bob12
Njoeni huku jamani ndo kusema mko busy sana[emoji22][emoji22][emoji22]
Hata Mimi si muda ninaweza kusepa kwa kweli hii stress free zone lakini lakini unaweza ukaingia ukapata stressSijui watu wamechoka au ni majukumu yanabana maana hadi nakosa mzuka wa kuja humu[emoji22]
Jakitoo huyu huyu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] jamanii!!!!La familia. Utafikiri mi na Jakitoo na vitoto vyetu [emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Shemeji nisamehe. Pilika pilika hapa leo. Tunaagwa. Nakuja kwa Jakitoo wangu. Hata ww MD wangu itabidi tuonane. Nakuona upo na andaeitiini hapo pembeni. Jihadhari sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora sasa aje akiwa yuko sober. Lakini akija akiwa ameshagaragaza mibapa kama miwili hivi tutaihama hii thread! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli wanaboa sana sijui wako wapiandjul
jakitoo
SHIMBA YA BUYENZE
nsamaka
moudgulf
ho chi minh
myoyambendi
ISIS
Bob12
Njoeni huku jamani ndo kusema mko busy sana[emoji22][emoji22][emoji22]
Loh, sasa sio Bob tena? Ni yegomasika hahahah.Hizo shutuma bado zinaendelea ujue
Msifanye hivyo bana. Vumilieni tu. Mkisepa JF mbona patakuwa pachungu kwangu? Hata nikiwaona huko duniani, hakuna uhuru kama uliopo hapa. Pulizi jamaniiii....Hata Mimi si muda ninaweza kusepa kwa kweli hii stress free zone lakini lakini unaweza ukaingia ukapata stress
Kwahiyo ndo hautarudi tena ama?Hata Mimi si muda ninaweza kusepa kwa kweli hii stress free zone lakini lakini unaweza ukaingia ukapata stress
Nipo mkuu niajeMzee wa liver
CantstopwontStop