NaamMkawe na usiku mwema wapendwaView attachment 589202
Buibui wakorofi eeeh? Nilikuwa sijui huu ukatiliBuibui ndiye ambaye nyumba yake haimkingi na joto wala baridi. Buibui ndiye mdudu ambaye akimaliza kufanya mapenzi na mwenzake humnyonga na kumuua.
Naona umeamua kubalansi. Topiki ya nyumbu siku ile naona makamanda iliwakereketa. Basi leo natumaini itakuwa full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabia usiyoifahamu kuhusu fisi
Fisi ni myama apatikanae katika hifadhi tofauti tofauti nchini na hata katika mapori sehemu Fulani.
Fisi ni mnyama anaependelea sana matunda aina ya Tikiti maji, na haswa pale anaposhiba kwa mizoga, kisha akikutana na matunda hayo huwa furaha kwake, na ukitaka kucheka na kuvunjika mbavu mkute wakati analila tunda hilo
HahahahahaNaona umeamua kubalansi. Topiki ya nyumbu siku ile naona makamanda iliwakereketa. Basi leo natumaini itakuwa full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamoo fisi !!!SIFA ZAKE ZA KIPEKEE***************************** Mosi ni mnyama mnyonge lakini huweza kupola chakula kwa wanyama wakali kama simba. Fisi ni mnyama anayeweza kukimbia umbali mrefu kwa taratibu, we tangulia na spidi 120 yeye atakuja na 30 na atakukuta tuu njiani ukiwa umeanguka either kwa kuishiwa nguvu au misuli kukaza na hapo ndio atafanya biashara yake kwa urahisi, na sifa hii ndio watu husema eti anasubiri mtu adondoshe mkono wala sio kweli, ana akili zake.