Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanyama hawa hutumia pua zao vyema kunusa, na huwatambua maadui kwa kunusa tuu, maadui wake wakubwa ni wawili yaani simba pamoja na ndege tai, ambaye mara kwa mara hufanya majaribio ya kutaka kuiba watoto wa kangaroo.
 
Kangaroo jike ana mfuko ambao hutumia kubebea mtoto wake, mara zote ahisipo hatari humuingiza mtoto wake katika mfuko huo, na kisha kutoweka maeneo hayo na hata mtoto pia hujihami kwa kuingia katika mfuko wa mama aonapo kuna tatizo.
 
Jike limvutia dume kwa ajili ya mahaba, dume hunusa kwanza mkojo wake kutambua kama jike huyo yu salama au anataka kumuuzia kesi ya Mimba, hata hivyo jambo la kustaajabisha ni kwamba kangaroo endapo atapata mimba wakati mtoto wake bado ananyonya huweza kuzuia mimba hiyo isikue mpaka hapo atakapo muondoa mtoto aliyenaye kwa wakati huo.
 
Kama sisi tunavyomuheshimu twiga ndivyo hivyo hivyo anavyoheshimika kangaroo nchini Australia, Ni alama ya utambulisho wa taifa lao, pia amewekwa katika ngao ya taifa lao pia, ni mnyama anayependwa sana nchini humo.
 
Kwa bahati mbaya Tanzania hakuna kangaroo kabisa, lakini cha kufahamu ni kwamba wanyama hawa hupendelea kuishi maeneo kame, na chakula chao kikuu ni majani tuu, alapo majani chakula kingine huweka akiba tumboni mwake, hivyo muda apumzikao hucheua na kuanza kula upyaa kama wafanyavyo mbuzi au ng'ombe.
 
Sifa zake.

1. Ana uwezo wa kukimbia km 22 kwa saa moja.
2. Kuogelea kwake sio ishu na akimbiapo anaweza katisha katika maji.
3. Wakati wa jua Kali hupumzika, jioni asubuhi ndio mida ambayo hupendelea kula.
4. Ana uwezo wa kuzuia mimba yake isikue.
5.huishi katika makundi yanayozidi kangaroo kumi.
6.kusalimiana kwa kangaroo ni kitu cha kawaida kama ilivyo kwetu.
 
7.ujanja wote kangaroo hawezi kutembea kinyume nyume.
8.katika mfuko wake anaweza kuwaingiza hata watoto wawili.
9. Ukimshitua au ikitokea hatari anaweza kuruka zaidi ya foot kumi na tano, kwahiyo hizo fensi za nyumba kwa kangaroo sio ishu kuruka pasina kugusa ukuta.
 
Baadhi ya nchi hujaribu kuwakuza wanyama ambao hawapo katika nchi yao, kwa kuwatafutia mazingira rafiki na watokako, kwa mfano kuna chura wetu wa kihansi walishawahi pelekwa nchi flani flani hivi, achilia mbali twiga aliyepanda ndege, na wengineo wengi walioondoka kabla.
 
USIYOYAJUA KUHUSU NCHI YA INDIA
Katika historia ya miaka 100000 India haijawahi kuivamia nchi yoyote.
India ndio inayoongoza kwa kuwa na ofisi nyingi zaidi ya nchi yoyote duniani.
Masomo ya Aljebra,Trigonometry na Calculas yaligunduliwa India.
Shirika la Reli ndio linaloongoza kwa kuajiri wafanyakazi wengi zaidi.
Chuo kikuu cha kwanza duniani kilijengwa India katika mji wa Takshila, zaidi ya wanafunzi 10,500 kutoka sehemu mbalimbali duniani walifika kusoma masomo zaidi ya 60.
mpaka 1986 India pekee ndiyo iliyokuwa ikizalisha almasi Duniani
 
MAMBO USIYOYAJUA HAYA HAPA
1).Idadi ya kuku duniani inalingana na idadi ya binadamu.

2).samaki aina ya shark ana uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 100

3).Mbu anavutiwa zaidi na rangi ya blu kuliko rangi nyingine yoyote.

4).Mnyama aina ya kangaroo hana uwezo wa kutembea kinyume nyume.
 
UNKNOWN FACTS ABOUT TANZANIA
Mt. Kilimanjaro, which is the tallest African peak, is located in Tanzania.
The newly declared capital of Tanzania is Dodoma.
Sadly, one out of every ten people in Tanzania is affected with HIV/AIDS.
The official language of Tanzania is Swahili. Swahili is a Bantu language that is primarily prevalent in the East African Coastal region.
 
Tanzania is the largest country on the East African Coast.
Tanzania is one of the poorest countries in the world.
Tanzania is home to exotic wildlife like black rhinos, the Kori bustard, baboons, wart hogs, elephants, zebras and more.
About 33% of the Tanzanian population is illiterate.
 
Tanzania is surrounded by three of the world’s most magnificent lakes - Lake Tanganyika, Lake Nyasa and Lake Victoria.
April 26 is celebrated as Union Day in Tanzania to commemorate the independence of Tanganyika and Zanzibar.
The name Tanzania is a portmanteau of Tanganyika and Zanzibar which were one nation before they separated into Tanzania and the semi-autonomous part of Zanzibar in 1964. Tanganyika means “sail in wilderness” and Zanzibar connotes “fair is this island”.
 
The earliest remains of humans including the legendary 2 million years old Homo habilis was recovered in Olduvai Gorge in Tanzania.
The extinct Ngorongoro Crater, in Tanzania, is the largest complete crater in the world.
Tanzania has more than a 100 different tribal groups.
Lake Manyara National Park, in Tanzania, is home to the world’s only tree-climbing lions.
 
Lake Tanganyika in western Tanzania is the world's second deepest lake.
Tanzania is famous for its African blackwood or mbingo carvings.
The Amani Nature Reserve in eastern Tanzania is the only place on the entire planet where African Violets really grow in the wild.
The Coconut Crab found on Chumbe Island of Zanzibar (the semi-autonomous region of Tanzania) is the largest crab in the world.
 
The short rainy season of Tanzania is called Vuli while the long rainy season is called Masika.
Tanzanian economy is largely an agricultural one with its primary cash crops being coffee, cotton, sisal and tea.
Dar es Salaam, the current economic and political hub of the country, was also the old capital of Tanzania.
Tingatinga and Makonde are two popular forms of African paintings popular in Tanzania.
 
hivyo wanapomuona simba dume hupiga kelele za kupeana habari kuna hatari. Fisi ana uwezo mkubwa wa kunusa, hivyo ukifukia kitu hata chini anaweza kukitambua endapo tuu kina harufu ya damu damu. Viumbe hawa wakijihakikishia akiba ya chakula katika himaya zao, basi hufanya sherehe na sherehe zao huwa na ufanano na sherehe za binadamu, hucheza, hufurahi, hufanya ngono na ugomvi huzuka pia wakati huo watoto wote hufichwa ndani ya nyumba.
Aisee! Haya unayatoa wapi lakini? Safi sana !!!
 
Back
Top Bottom