Makubwa
Aisee! Haya unayatoa wapi lakini? Safi sana !!!hivyo wanapomuona simba dume hupiga kelele za kupeana habari kuna hatari. Fisi ana uwezo mkubwa wa kunusa, hivyo ukifukia kitu hata chini anaweza kukitambua endapo tuu kina harufu ya damu damu. Viumbe hawa wakijihakikishia akiba ya chakula katika himaya zao, basi hufanya sherehe na sherehe zao huwa na ufanano na sherehe za binadamu, hucheza, hufurahi, hufanya ngono na ugomvi huzuka pia wakati huo watoto wote hufichwa ndani ya nyumba.
Aisee! Haya unayatoa wapi lakini? Safi sana !!!