Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7db5f7480a265ec9828f00710bf6e5d4.jpg
 
Migambo siku wakagundua kuwa huyu mzee ni muuza gongo waka ambush kibanda chake mzee pamoja na kipondo kikali ila alikuwa sawa tu kama mti uliokauka mgumu alipigwa mkupeto na alitembelea kucha almost 10km kutoka kibandi hadi kituoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du
 
Back
Top Bottom