ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaTuliangaika kutafuta kibali kwa ajili ya kuuza maandazi ila kumbe huyu ho chi minh alitumia chance ile na kuanza biashara hiyo.
Sura imejaa makovu ya vurugu na wateja wake
Mkuu upo naona umekuja kivingineUsiku mwema wakuu
DIIIW503
DIIIW504
Du hatari mchina anauza konyagi mwituUkikitana nae huyu mzee mwenzangu ni sura ni zaidi ya kuwa na viraka nundu ngeo alama za nyuzi za majeraha ila mzee hakukoma na biashara yake ya gongo ho chi minh
Hahahahahabangi ya Arusha sio poa
Mwili wake je??Tshirt kuntu...