mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh Dodoma
Nani huyo mchina sijakupata kabisaAkaanza kufundisha tuition alizipiga kwa muda kabla ya wazazi kigundua hana taaluma hiyo,
Wakamfuata ghafla kaona vumbi la wazazi wanakaribia chumba cha kufundishia ambacho usiku hulalala humo,
Alipitia dirishani.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
WCDXCVIW496
WCDXCVIIW497
WCDXCVIIIW498