Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpika maandazi eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu baby hebu njoo mpika maandazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alitoa mawazo ya kuanzisha kibanda cha maandazi kwa pamoja tukapeana zamu kupika kwa week nikaanza vyema kabisa na wateja walikuja wa kila aina.
Week iliyofuata ilikuwa zamu ya huyu mchina alibadili kile kibanda na kuleta mitambo ya kutengeneza gongo wateja wangu wote akawanywesha gongo ila migambo wakipita anakuwa ameacha jiko nje na andazi moja kama ndio muuza maandazi sijajua mpaka sasa bado anaendelea na gongo
 
Mamilioni wameuawa na

kuuzwa katika miaka 10 iliyopita

Inakadiriwa kuwa kakakuona 100,000 hukamatwa kila mwaka barani Afrika na Ulaya na kuuzwa. China na Vietnam ndizo nchi maarufu ambazo nyama na magamba yake huuzwa.



Kutokana na hilo, Shirika la Umoja wa Mataifa la Hifadhi za Asili (IUCN) limemweka kakakuona kwenye orodha ya wanyama walioko kwenye hatari ya kutoweka duniani.
Wanafanyia nini magamba yake!?
 
Back
Top Bottom