Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipi ile timu uliyosajiriwa mwaka 1989 nilisikia ulifukuzwa baada ya kufungwa magori 17 na yote yalitokana na wafungaji kupitia kwako.
Ilikuwaje ukadanganya kuwa ulitokea timu ya Motema pembe ya Congo wakati ulikuwa mpika maandazi pale Kibiti?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mpika maandazi eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu baby hebu njoo mpika maandazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom