carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
CcKichwa Kichafu njoo hukuOgopa sana watu kupitia kwako,
Kila ukipasiwa ama unachelewa kuupokea, ama unazubaa wanaupitia, ama unaanguka wanauchukua, ama mpira unafika pamoja na adui ankwenda kufunga.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app