Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W464
Jamani wananisingizia tu, huyu anadeitini mie huwa nagonga nae cha kwao basi ndio wakaanza kumtuhumu.Sikuwezi kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Ogopa sana watu kupitia kwako,Mpika maandazi eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu baby hebu njoo mpika maandazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh pole sana dear! Wishing u a quicker recovery..Niko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Kumbe we ndo wamponza eehJamani wananisingizia tu, huyu anadeitini mie huwa nagonga nae cha kwao basi ndio wakaanza kumtuhumu.
WwwwW358