Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna anayefahamu

idadi ya miaka anayoishi

Inakadiriwa kuwa mnyama huyo huishi kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika pori. Lakini hiyo ilikuwa inafahamika zamani kipindi ambacho mnyama huyo alikuwa anaonekana tofauti na sasa.

Hata hivyo, kutokana na aina ya maisha ya wanayoishi, inasemekana kuwa wanaweza wasiishi miaka mingi, licha ya kuwa bado haifahamiki kwa sasa, inawezekana wakaishi kwa miaka 20.
 
b8a4c80e99ea7460e186a42f8cf28ded.jpg
 
Hutema sumu kali

mithili ya tindikali

Kakakuona akiona adui hujilinda kwa kujikunja, lakini akiona hali inakuwa mbaya zaidi, hutema sumu kali mithili ya tindikali inayoweza kumdhuru adui.

Pia, wakati mwingine hunyoosha mkia wake na kuuzungisha na kumkata adui aliyekaribu yake.
 
Mamilioni wameuawa na

kuuzwa katika miaka 10 iliyopita

Inakadiriwa kuwa kakakuona 100,000 hukamatwa kila mwaka barani Afrika na Ulaya na kuuzwa. China na Vietnam ndizo nchi maarufu ambazo nyama na magamba yake huuzwa.



Kutokana na hilo, Shirika la Umoja wa Mataifa la Hifadhi za Asili (IUCN) limemweka kakakuona kwenye orodha ya wanyama walioko kwenye hatari ya kutoweka duniani.
 
Hawaoni vizuri

Ni aina moja katika ya nane za kakakuona wenye uwezo wa kuona vizuri hasa muda wa mchana. Hawa ni wale wanaopatikana barani Afrika.

Wengine hawana uwezo wa kuona vizuri kutokana na kuwa na macho madogo.
 
Back
Top Bottom