mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaDah.. Naumia sana kupinduliwa bila taarifa
Kuna majanga hapoMama weeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Jamani jamani
Hiyo list yako hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
acha niitafakali
Eeeh jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DXIIW512
DABmbona makonda hatuna vyeti na tunaaminiwa wa Bosi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duMigambo siku wakagundua kuwa huyu mzee ni muuza gongo waka ambush kibanda chake mzee pamoja na kipondo kikali ila alikuwa sawa tu kama mti uliokauka mgumu alipigwa mkupeto na alitembelea kucha almost 10km kutoka kibandi hadi kituoni
Nyie wazee nyieAkaanza kupeleka mbuzi Sudan kusini,
Mara ya kwanza alipiga pesa ndefu,
Mara ya pili roli likaanguka na mbuzi wote wakateketea.
Alirudi na jeans lake likiwa magoti.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app