Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro. Mi nahangaika kukulindia tena unataka kunigeuzia kibao? Ungejua ninavyopambana ungeniletea hata shehena ya ugali kama zawadi. Unamjua Andaeitiini wewe? Singo faza je?

Relax bro. Mi sina ile falsafa zembe ya eti tunakulagaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hainaga nini vile
 
Kuna kachama kengine huko kameanza anza. Eti wanajiita CHAWAVITA (Chama cha Wapenda Vimbaumbau Tanzania). Washindwe na walegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
13626ffab22f3692fbd3c8c468d34f99.jpg
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom