Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona umekashupalia sana haka ka Jakitoo? Unakajuaje na sleeping pattern za kenyewe? Unawezaje kuzungumzia ratiba za kulala za mpenzi wa mtu? Wewe andaeitiini yawezekana ukawa hatari zaidi kuliko hata singo faza mwimba gospo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Linda zizi lako vizuri shem,waharibifu ni wengi[emoji23]
 
Shemeji, huyu andaeitiini unamkuwadia baby wangu ama? Mbona ujio wake umewafurahisha sana nyie wawili? What's going on shemeji?
Siwezi fanya kitu kama hiko walah
Andaeitini alisema leo jakitoo hajaonekana,nikamjibu atakuwa kabembelezwa mapema na syb ndio mana...
Sasa hatujakaa vizuri kaingia ndo nikaanza kucheka
 
Back
Top Bottom