andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Professional answer [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sawa mkuu ndio tupo kwenye process
Professional answer [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sawa mkuu ndio tupo kwenye process
Hello[emoji112] [emoji112] yego
Jichanganyane tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeeh
(Sijui hata naongea nin)
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kona bar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sorry brother...
Fine tuu Yegomasika, thank youHow was your day, kitoo! [emoji23][emoji23][emoji23] Hapa SYB asipaone! [emoji23][emoji23]
Weeeee weeeeeee.... Nyamaza..Uongo
Uliifunga kwa nini? Ulikuwa unafuatwa kutongozwa na mabinti? Wewe ndo mwanaume wa kwanza kusikia eti kafunga PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hawa ma modes wanaweza nifungulia PM yangu? Nilishapoteza ufunguo siku nyingi! Na wa kule chini, kwa wakubwa![emoji848]
Uko rede kama ma antena ya Si Ai Ei kusikilizia wapenzi wa watu kama wamekuja ama la! [emoji36][emoji36][emoji36][emoji123][emoji123][emoji123]Kama nimemuona jakitoo humu! [emoji23][emoji15]
Yaani yale maisha aliyo pitia mdogo wangu yale!!!!Yaani huoni kabisa Andaeitini anavyokujia shemeji? Unafikiri usingekuwa shemeji yangu ningekuwa nahangaika hivi?
Mdogo wangu aliteseka mno kwa Goddess na kamwe sitaki arudie hali hiyo. Si ulikuwepo lakini wakati ule akishusha paraboz non stop? That was just brutal !!!
Shemeji, huyu andaeitiini unamkuwadia baby wangu ama? Mbona ujio wake umewafurahisha sana nyie wawili? What's going on shemeji?Jakitoo ini da hausi[emoji23][emoji23][emoji23]
Fine tuu Yegomasika, thank you
Hawayu?
Subiri Mpare akija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya uniq kupiga desa miaka 70 drs la 2 memkwa mbaya jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ipo ini sirizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwepo sana,tena usinikumbushe aliumwa malaria et[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo chamoto nakiona mana kuna listi hapo kati[emoji23][emoji23][emoji23]
Uliifunga kwa nini? Ulikuwa unafuatwa kutongozwa na mabinti? Wewe ndo mwanaume wa kwanza kusikia eti kafunga PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kule chini kwa wakubwa ni wapi huko?
U mtu mwema sana shemeji. Huo ndo ubinadamu sasa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Amen. Ile talaka nimeifuta mpaka apone. Matibabu yake yote nipo answarwabo kwakweli[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Si ajabu bondo la boarding school hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongea kwa mafumbo. Kaone [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Hivi kuna ulinzi kama wa wale jamaa wa CIA? Lakini Snowden alitambaa na mambo! [emoji23][emoji23]