Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapendwa sana. You are charming, funny and just a good girl and a human being. Wakati ule ukiniulizia hali ya mama basi mi mpaka nachanganyikiwa kabisa. Na si ajabu watu wakijipigilia mijibapa wanaanza kukulilia. Sema tu hatujuani ndo kitu kinasaidia. You are one of a kind. Hata Andaeitiini simlaumu kwa kweli !!!
Katibu.... Tayari, huo ni wimbo wa pili kwenye kumbukumbu yangu....
Coleeeee[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hawajui maumivu yake. Hasa yale psychological yasiyotibika kirahisi.
Eti waja na kurusha ndoano hata nchi kavu,samaki gani anazurura kwenye lami, hospital, sokoni?
Amu goingi tu dilu withi dhemu papendikyula...
 
Back
Top Bottom