Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba kesho uniambie ilikuwaje ukapata ngeo kubwa kiasi hicho karibu na jicho la kushoto?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Siku ambayo nilikwenda kuangalia mzee mwenzangu week hii amefanikisha bidhaa ya maandazi.
Alitumia walevi wenzie wa kinywaji kile kunishambulia kwa vyupa.
Mzee alikuwa mjanja sana anatafuta chupa za dawa za kifuo za watoto na kujaza bidhaa ile
 
Sasa kumbe imekuwaje? Nimemuona Makamu nae ameingia, yeye anajiita; The brothers keeper! Subiri makombora tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.
Mnajua gharama ya kumainteni hiyo furaha mnayoiburuza kwa dharau utadhani mpira wa cha ndimu?
Ipo siku ntamng'oa mtu nanihii yake...
Mfyuuu zenuuu...
 
Shemeji nisamehe. Pilika pilika hapa leo. Tunaagwa. Nakuja kwa Jakitoo wangu. Hata ww MD wangu itabidi tuonane. Nakuona upo na andaeitiini hapo pembeni. Jihadhari sana. Kama nilivyokwambia jana. The boy is veeeery smooth chita cha mtoto. Cole mdogo wangu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carba karegeeeeea kwa andaeitini chasugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.
Mnajua gharama ya kumainteni hiyo furaha mnayoiburuza kwa dharau utadhani mpira wa cha ndimu?
Ipo siku ntamng'oa mtu nanihii yake...
Mfyuuu zenuuu...

Hapa sasa inayotema cheche ni BAPA! Imeanza kukolea haswa! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.
Mnajua gharama ya kumainteni hiyo furaha mnayoiburuza kwa dharau utadhani mpira wa cha ndimu?
Ipo siku ntamng'oa mtu nanihii yake...
Mfyuuu zenuuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mkwara huu
 
Nilikuwepo sana,tena usinikumbushe aliumwa malaria et[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo chamoto nakiona mana kuna listi hapo kati[emoji23][emoji23][emoji23]
Unapendwa sana. You are charming, funny and just a good girl and a human being. Wakati ule ukiniulizia hali ya mama basi mi mpaka nachanganyikiwa kabisa. Na si ajabu watu wakijipigilia mijibapa wanaanza kukulilia. Sema tu hatujuani ndo kitu kinasaidia. You are one of a kind. Hata Andaeitiini simlaumu kwa kweli !!!
 
3122960510deb5491cd0bd008fd1d9c0.jpg

Nawaona kwa mbaaaliii mnakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani sikuelewi kabisa

CantstopwontStop
 
Back
Top Bottom