Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa naona mwaka unaelekea kukatika ikiwa hujakamatwa ugoni,

Utakuwa mwaka wa ajabu sana ķuumaliza bila kufumaniwa.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mwanzo ulisema ni ushujaa kumbe ulikuwa umepotea nikakuacha na harakati zako za kufatilia wake za watu.
Mzee unaroho ngumu sana ukiamua kutaka unachokitamani hujali ukikamatwa.
Umefungia wengi sana kwenye kile kijumba kinachovuja mchana ukiwa ndani kama umesimama chini ya mti kwa bati zilivyotoboka na kupitisha mwanga
 
Unajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.
Mnajua gharama ya kumainteni hiyo furaha mnayoiburuza kwa dharau utadhani mpira wa cha ndimu?
Ipo siku ntamng'oa mtu nanihii yake...
Mfyuuu zenuuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hawajui maumivu yake. Hasa yale psychological yasiyotibika kirahisi.
 
Ulitaka roli scania kwa milioni 3 ningefanyaje?


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ungesema ukweli tu mwanzo na ushauri ulitoa wewe kuwa ni mtu maarufu kwenye malori.
Ukatupa hadi experience ulivyokuwa unachepuka kwa kujifanya dereva wa malori makubwa.
Kwanini unapenda sana udereva wa masafa marefu?
Kuna jambo limejificha hapo unapenda nini huko
 
Unapendwa sana. You are charming, funny and just a good girl and a human being. Wakati ule ukiniulizia hali ya mama basi mi mpaka nachanganyikiwa kabisa. Na si ajabu watu wakijipigilia mijibapa wanaanza kukulilia. Sema tu hatujuani ndo kitu kinasaidia. You are one of a kind. Hata Andaeitiini simlaumu kwa kweli !!!
Nafarijika kusikia hivi[emoji4][emoji4]
Ila si kwa sifa hizi,nashukuru Mungu kama nawafanya mfarijike[emoji120][emoji120]
 
Nilikuambia sawa umenunia roli lakini linahitaji matengenezo makubwa,
Wewe ukapiga rangi nyekundu tu na kuanza kununua mbuzi na kupakia.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mwanzo ulisema matengenezo ni machache maana umehakikisha kwa pesa ile utapata lori zuri.
Kumbe utapeli ulianza toka kwa walimu wako wa shule ya msingi wakikuagiza kupeleka vitu nyumbani kwao ukawa unaishia mitini.
 
Back
Top Bottom