Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W535
You are a blessing shemeji [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nafarijika kusikia hivi[emoji4][emoji4]
Ila si kwa sifa hizi,nashukuru Mungu kama nawafanya mfarijike[emoji120][emoji120]
Amna love yaani ulivyo gusia kutoroka Tu mi pozi likaniishaUkanikimbia?[emoji35][emoji35][emoji35]
Gari ulionionesha kwenye picha kumbe wakati lilivyokuwa jipya.Tairi zilikuwa vipara zote,
Nilikuzuia usiendelee na mpango wa kulifanyia safari kabla ya matengenezo hukunielewa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Jiangalie bro. Sifia kidogo ulinzi uwe mwingiUnapendwa sana. You are charming, funny and just a good girl and a human being. Wakati ule ukiniulizia hali ya mama basi mi mpaka nachanganyikiwa kabisa. Na si ajabu watu wakijipigilia mijibapa wanaanza kukulilia. Sema tu hatujuani ndo kitu kinasaidia. You are one of a kind. Hata Andaeitiini simlaumu kwa kweli !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nije nipike au unipikie[emoji15][emoji15]
Furendi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]