Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]yaani leo nafwaaaaa
Shem hata wewe
Yaani huoni kabisa Andaeitini anavyokujia shemeji? Unafikiri usingekuwa shemeji yangu ningekuwa nahangaika hivi?

Mdogo wangu aliteseka mno kwa Goddess na kamwe sitaki arudie hali hiyo. Si ulikuwepo lakini wakati ule akishusha paraboz non stop? That was just brutal !!!
 
Pole sana bageshi. Sali...

Ulitibiwa vizuri ukapona na therapy juu?

Please fuatilia ujue tatizo ni nini. Mungu Akusaidie nkoyi !!!
Nilipata matibabu vzr tu maana nilikaa hosp miezi 6 na klinik nimeacha mwezi February mwaka huu baada daktari kujiridhisha kuwa niko poa.
Niko na mpango wa kurudi tena bugando nilipokuwa natibiwa.
 
Maandazi ya kichwa ukiyala hutaacha kuyatafuta,
Jamaa mtaalamu hasa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tatizo ulifanya mapinduzi na biashara yako ile uliobobea.
Ufundi huo wa biashara ya huyu mchina aliupata akiwa na miaka 9 miaka ya 50 huko ila utaalam bado upo.

Ameanza kuzoeana na wagambo wote kumbe ndio wateja wake hivyo imekuwa kazi kumdhibiti
 
Yaani huoni kabisa Andaeitini anavyokujia shemeji? Unafikiri usingekuwa shemeji yangu ningekuwa nahangaika hivi?

Mdogo wangu aliteseka mno kwa Goddess na kamwe sitaki arudie hali hiyo. Si ulikuwepo lakini wakati ule akishusha paraboz non stop?
Nilikuwepo sana,tena usinikumbushe aliumwa malaria et[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo chamoto nakiona mana kuna listi hapo kati[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom