Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The power of I am....
*************************

Si ajabu hapo chini kuna zingine umeongezea...

I am loved by Carba...

I am Carba's true love....

I am Carba's future husband...

[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Alitoa mawazo ya kuanzisha kibanda cha maandazi kwa pamoja tukapeana zamu kupika kwa week nikaanza vyema kabisa na wateja walikuja wa kila aina.
Week iliyofuata ilikuwa zamu ya huyu mchina alibadili kile kibanda na kuleta mitambo ya kutengeneza gongo wateja wangu wote akawanywesha gongo ila migambo wakipita anakuwa ameacha jiko nje na andazi moja kama ndio muuza maandazi sijajua mpaka sasa bado anaendelea na gongo
Me uje kunipikia maandazi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Pole sana bageshi. Sali...

Ulitibiwa vizuri ukapona na therapy juu?

Please fuatilia ujue tatizo ni nini. Mungu Akusaidie nkoyi !!!
 
Gongo Hakuna habari ya vodka, Vladimir, beffeter, jack daniel, red labe nk.
Ile ndo pombe ya mwanaume wa kweli,
Pia ukitaka six pack hapo ndo penyewe mkuu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Japo bando una ngeo na mwili kubaki kama screpa ila bado unatumia.
Unauza vitu vya ndani furniture kitanda ili upate kinywaji hicho
 
Back
Top Bottom