Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tvs-soccer-1.jpg
 
Vanessa Williams
Huyu alishakuwa miss America nafikiri
Ahsante sana Kiongozi.

Sikuwa nafahamu ya kuwa alishawahi vishwa Taji la Ulimbwende, na sikuwa nafahamu kabisa kama alishawahi jihusisha na masuala ya Ulimbwende.

Ukiacha Muziki.

Ninachofahamu ni Uigizaji tu, wa vipindi vya Luninga.

Na Filamu pia, kama ulishawahi tazama Filamu ya kuitwa SHAFT, Vanessa Williams yumo pamoja na SAMUEL L JACKSON, pamoja na Mzee BUSTA RHYMES.

Huyu Bibie VANESSA naona ni vipaji Lukuki
 
Alikuwa ndiye Miss America wa kwanza mweusi (japo si mweusi kivile). Baadaye alivuliwa hilo taji kw skendo (alikuwa ana mtoto tayari...?). She is still cute pamoja na kwamba mvua zimeenda.
 
Mimi ndio kwanza Wewe na mzee wa liver mnanifahamisha.

Kwakweli nilikuwa kizani.

Pamoja sana Kiongozi
 
Back
Top Bottom