andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Wewe wanijua vyema. Hata moudgulf enzi za ujana wetu alinisumbua sana, upole wangu limekuwa tatizo sanaNimeuliza tu[emoji23][emoji23][emoji23]sina maana mbaya et
Wewe wanijua vyema. Hata moudgulf enzi za ujana wetu alinisumbua sana, upole wangu limekuwa tatizo sanaNimeuliza tu[emoji23][emoji23][emoji23]sina maana mbaya et
Mimi ni mjinga, sistahili kumchekea moudgulf wala YegomasikaWe ushaibiwa siku nyingi sana
Basi sawaAkipona tu nitachukua maamuzi magumu...
Walahi vileee!!!Tatizo shemeji response yake kama inawakaribisha
Hilo jina la mwisho usilitaje hilo. Presha itanipanda sasa hivi. Dogo hatari sana yule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni mjinga, sistahili kumchekea moudgulf wala Yegomasika
Na upole wako ndo unakuponzaWewe wanijua vyema. Hata moudgulf enzi za ujana wetu alinisumbua sana, upole wangu limekuwa tatizo sana
Wala hata si mjinga,sema mapenzi yamekupofuaMimi ni mjinga, sistahili kumchekea moudgulf wala Yegomasika
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeh!halafu leo sijamuona ujue?au umemteka?Hilo jina la mwisho usilitaje hilo. Presha itanipanda sasa hivi. Dogo hatari sana yule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nakuwa sijioniUnavyonishushua sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]